Deuteronomy 7:18

18 aLakini msiwaogope. Kumbukeni vyema jinsi Bwana Mwenyezi Mungu wenu alivyofanya kwa Farao na kwa wote huko Misri.
Copyright information for SwhKC